

Wachezaji wa Chelsea wakimpongeza Oscar baada ya kuipatiabao dakika ya 4 na kufanya 1-0 dhidi ya Norwich.

Anthony Pilkington akishangilia bao lake la kusawazisha na kufanya 1-1

Pilkington akimfunga kipa Petr Cechwa chelsea nakuandika 1-1
Kipindi cha pili Norwich wakicheza kwa uhirikiano na kujituma zaidi wameweza kuwakamata Chelsea kwa muda kwa kufanya mashambulizi kadhaa na dakika ya 68 wakapata bao la kichwa kwa kusawazisha kupitia kwa Anthony Pilkington na kufanya 1-1 dhidi ya Chelsea.


Willian akishangilia bao lake la tatu na la mwisho hapa baada ya kufanya 3-1 dhidi ya wenyeji Norwich.
VIKOSI:
Norwich City: Ruddy, Martin, Turner, Bassong, Olsson, Tettey, Snodgrass (Redmond 81), Howson, Fer, Pilkington, van Wolfswinkel (Hooper 72)
Substitutes not used: Whittaker, Johnson, Bunn, Elmander, Ryan Bennett
Substitutes not used: Whittaker, Johnson, Bunn, Elmander, Ryan Bennett
Scorer: Pilkington 67
Booked: Tettey
Booked: Tettey
Chelsea: Cech, Ivanovic, Luiz, Terry, Cole (Hazard 74), Ramires, Lampard,Mata(Willian 81), Oscar, Schurrle, Ba(Eto'o 72)
Substitutes not used: Essien, Schwarzer, Cahill, AzpilicuetaScorer: Oscar 4, Hazard 85, Willian 86Booked: Oscar
Substitutes not used: Essien, Schwarzer, Cahill, AzpilicuetaScorer: Oscar 4, Hazard 85, Willian 86Booked: Oscar
Referee: Neil Swarbrick (Lancashire)Attendance: 26, 840
RATIBA/MATOKEO
Jumapili October, 6
Norwich City 1 v 3 Chelsea
Southampton 2 v 0 Swansea City
18:00 West Bromwich Albion v Arsenal
18:00 Tottenham Hotspur v West Ham United
No comments:
Post a Comment