
Jose Mourinho akikumpatiana na Mesut Ozil mchezaji wake wa zamani Real Madrid


Katika mashindano ya Capital one huko uingereza Arsenal ambao wako kileleni mwa ligi kuu ya uingereza waligaragazwa bila huruma na Chelsea kwa mabao mawili kwa bila. Lakini Chelsea walipokuwa wakiwatesa the Arsenal nyumbani kwao Manchester United waliwachapa Norwich kwa mabao manne kwa bila.

Hii inafanya Man u Kushinda mara sita mfulululizo, bila shaka na kumpa Moyes matumaini ya kufanya vizuri katika ligi ya Uingereza halikadhalika kombe hilo la Capital one.






Mzee Wenger akiwaaga mashabiki Emirates baada ya kipigo

Kocha wa Chelsea Mourinho alibeba jezi ya Ozil ??
No comments:
Post a Comment