Sunderland
wakiwa kwao kwenye uwanja wao wa Stadium of Light wanapata bao la
kwanza dakika ya 5 kupitia mchezaji Craig Gardner baada ya mabeki wa
United kujichanganya na kutangulia kwa bao 1-0 dhidi ya United. Dakika
ya 55 kipindi cha pili Mchezaji Adnan Januzaj wa United
anaipata bao na kusawazisha kwa kufanya 1-1. Dakika sita baadae Adnan
Januzaj akaipatia bao jingine na kufanya matokeo yawe 2-1 dhidi ya
Sunderland ambao wapo kwao.
Kumbuka Sunderland haijashinda hata mechi moja huku wakiwa mkiani wakiwa na alama 1 tu katika msimamo wa ligi kuu England. Mpaka dakika za kwenda mapumziko timu ya Sunderland ndiyo ilikuwa juu ya bao 1-0 dhidi ya timu ya Manchester United usiku huu.Mchezaji wa Sunderland Craig Gardner akipinga mpira na kufunga mbele ya Nemanja Vidic
Craig Gardner akifunga bao baada ya Nemanja Vidic kujisahau
David De Gea hakuona ndani hapa...1-0.....
Gardner akishangilia baada ya kuifunga Manchester Unied
Majanga kwa United....1-0!! kipindi cha kwanza dakika ya 5 pwaa!!
Machungu:
Robin van Persie, Michael Carrick na Wayne Rooney baada ya kufungwa bao
na hapa wako katikati ya uwanja wakijiuliza mbinu ya kutaka kushinda
kwenye uwanja wa ugenini wa wa Stadium of Light
Kila mchezaji akijiuliza hapa!!??!!...
Adnan Januzaj akitupia bao la kwanza hapa na kuiokoa kwa kusawazisha na kunyamazisha mashabiki
Jozy Altidore akivutwa shati na Nemanja Vidickipindi cha kwanza
Januzaj alipewa kadi ya njano hapa kwa kujiangusha eneo hatari ndani ya box
Matokeo haya yalikuwa ni muhimu sana kwa timu pamoja na David Moyes
Van Persie kushoto....
Adnan akifunga bao la pili na la ushindi hapa.
Makocha: Moyes na Ball wakisalimiana kabla ya mtanange
Sunderland: Westwood, Celustka, O'Shea, Roberge, Colback, Cattermole, Ki (Wickham 74), Johnson, Gardner (Larsson 56), Giaccherini, Altidore.
Subs: Cabral, Cuellar, Mannone, Ji, Borini.
Goal: Gardner 5.
Booked: Gardner, O'Shea.
Man Utd: De Gea, Rafael Da Silva (Smalling 86), Jones, Vidic, Evra, Carrick, Cleverley, Nani (Welbeck 77), Rooney, Januzaj (Valencia 77), Van Persie.
Subs: Giggs, Lindegaard, Hernandez, Kagawa.
Goals: Januzaj 55, 61.
Booked: Rooney, Januzaj, Vidic, Rafael.
Referee: Chris Foy (Merseyside)
RATIBA/MATOKEO:
Jumamosi 5 Oktoba
14:45 Manchester City 3 v Everton 1
17:00 Cardiff City 1 v 2 Newcastle United
17:00 Fulham 1 v 0 Stoke City
17:00 Hull City 0 v 0 Aston Villa
17:00 Liverpool 3 v 1 Crystal Palace
19:30 Sunderland 1 v 2 Manchester United
No comments:
Post a Comment