Kikosi cha timu ya Airtel Rising stars cha Tanzania kikiwasili katika uwanja wa ndege wa Julius Kambarage nyerere kutoka katika michuano ya Airtel Rising Stars nchini Nigeria
Timu ya wavulana ya Airtel Rising stars cha Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Julius Kambarage nyerere jana usiku
Mabigwa wa michuano ya Airtel Rising stars Afrika kwa upande wa wasichana Timu ya Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Julius Kambarage nyerere jana usiku
Kikosi cha timu ya Airtel Rising stars cha Tanzania wakiwa kwenye basi tayari kwenda hotelini mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Julius Kambarage nyerere jana usiku
Mzazi wa mchezaji wa kike Donisia Daniel akimpokea mwanae kwa furaha
Aifsa uhusiano wa Airtel Jana Matinde (mwenye rasta) akiwalaki wachezaji mara baada ya kuwasili kutoka katika michuano ya Airtel Rising Stars nchini Nigeria pichani ni baadhi ya watu waliojitokeza usiku huo kuwapokea wachezaji hao
No comments:
Post a Comment