FIFA jana imetoa
Listi ya Ubora Duniani na 10 Bora imebaki vilevile ikiongozwa na Mabingwa
waDunia, Spain, huku Tanzania ikiporomoka Nafasi 7 na kukamata Nafasi ya
128.
Mwezi uliopita Tanzania ilikuwa Nafasi ya 121.
Nchi ya Afrika iliyo juu kabisa ni Ivory Coast ambayo imebaki Nafasi yao ile ile Nafasi ya 18 na kufuatiwa na Ghana iliyo Nafasi ya 24.
Listi nyingine ya FIFA ya Ubora Duniani itatoka Septemba 12.
10 BORA
1. Spain
2. Germany
3.Colombia
4 .Argentina
5 .Netherlands
6 .Italy
7 .Portugal
8 .Croatia
9 .Brazil
10. Belgium

No comments:
Post a Comment