Hodgson ameteua Kikosi cha England ambacho Jumatano
ijayo kitacheza Mechi ya Kirafiki na Mahasimu wao Scotland Uwanjani
Wembley.
Roy Hodgson, ameteua Kikosi cha England ambacho Jumatano ijayo kitacheza Mechi ya Kirafiki na Mahasimu wao Scotland Uwanjani Wembley na ndani yumo Wayne Rooney ambae hajacheza Mechi yoyote katika kipindi hiki wakati Klabu zinajisuka kwa ajili ya Msimu mpya.
Kwenye Kikosi hicho pia yumo Straika wa Southampton, Rickie Lambert, ambae ni chaguo la kushangaza pamoja na Chipukizi wa Manchester United, Wilfried Zaha, aliepandishwa kutoka Kikosi cha U-21 cha England.
Akimuelezea Rickie Lambert, mwenye Miaka 31, Roy Hodgson amesema: “Nadhani kama Mtu anafanya bidii kwa Miaka mingi anastahili kuitwa kuichezea Nchi yake! Wakati huu tuna upungufu wa kuwakosa Daniel Sturridge na Andy Carroll na yeye anastahili kuitwa!”
Msimu uliopita, Lambert alifunga Bao 15 kwenye Ligi Kuu akiwa na Southampton ikiwa ni mara yake ya kwanza kuichezea Ligi hiyo kubwa huko England kufuatia kuishia kucheza Ligi za chini maisha yake yote.
Mabao hayo ya Lambert yalimfanya awe Mfungaji Bora wa Ligi Kuu England kwa Wachezaji wenye asili ya England akifungana na Mkongwe Frank Lampard wa Chelsea.
ENGLAND SQUAD FOR SCOTLAND FRIENDLY ON AUGUST 14
Goalkeepers: Ben Foster (West Bromwich Albion), Joe Hart (Manchester City), John Ruddy (Norwich City)
Scotland travel to Wembley to face England on Wednesday night
ENGLAND UNDER 21 SQUAD FOR SCOTLAND FRIENDLY ON AUGUST 13
Goalkeepers: Jonathan Bond (Watford), Jack Butland (Stoke City), Sam Johnstone (Manchester United), George Long (Sheffield United)
Defenders: Eric Dier (Sporting Lisbon), Todd Kane (Blackburn Rovers, loan from Chelsea) Michael Keane (Manchester United), Jack Robinson (Blackpool, on loan from Liverpool), Luke Shaw (Southampton), John Stones (Everton), Tom Thorpe (Manchester United), Andre Wisdom (Liverpool)
Midfielders: Ross Barkley (Everton), Nathaniel Chalobah (Chelsea), Tom Carroll (Tottenham Hotspur), Will Hughes (Derby County), Jesse Lingard (Manchester United), Jonjo Shelvey (Swansea City)
Forwards: Sammy Ameobi (Newcastle United), Saido Berahino (West Bromwich Albion) Thomas Ince (Blackpool), Harry Kane (Tottenham Hotspur), Nathan Redmond (Norwich City), Raheem Sterling (Liverpool), Connor Wickham (Sunderland)

Defenders: Leighton Baines (Everton), Gary Cahill (Chelsea),
Ashley Cole (Chelsea), Phil Jagielka (Everton), Glen Johnson (Liverpool), Phil
Jones (Manchester United), Chris Smalling (Manchester United), Kyle Walker
(Tottenham Hotspur)
Midfielders: Michael Carrick (Manchester United), Tom Cleverley (Manchester United), Steven Gerrard (Liverpool), Frank Lampard (Chelsea), Jack Wilshere (Arsenal)
Wingers: James Milner (Manchester City), Alex Oxlade-Chamberlain (Arsenal), Theo Walcott (Arsenal), Ashley Young (Manchester United), Wilfried Zaha (Manchester United)
Forwards: Jermain Defoe (Tottenham Hotspur), Rickie Lambert (Southampton), Wayne Rooney (Manchester United), Danny Welbeck (Manchester United)
Midfielders: Michael Carrick (Manchester United), Tom Cleverley (Manchester United), Steven Gerrard (Liverpool), Frank Lampard (Chelsea), Jack Wilshere (Arsenal)
Wingers: James Milner (Manchester City), Alex Oxlade-Chamberlain (Arsenal), Theo Walcott (Arsenal), Ashley Young (Manchester United), Wilfried Zaha (Manchester United)
Forwards: Jermain Defoe (Tottenham Hotspur), Rickie Lambert (Southampton), Wayne Rooney (Manchester United), Danny Welbeck (Manchester United)
Scotland travel to Wembley to face England on Wednesday night
ENGLAND UNDER 21 SQUAD FOR SCOTLAND FRIENDLY ON AUGUST 13
Goalkeepers: Jonathan Bond (Watford), Jack Butland (Stoke City), Sam Johnstone (Manchester United), George Long (Sheffield United)
Defenders: Eric Dier (Sporting Lisbon), Todd Kane (Blackburn Rovers, loan from Chelsea) Michael Keane (Manchester United), Jack Robinson (Blackpool, on loan from Liverpool), Luke Shaw (Southampton), John Stones (Everton), Tom Thorpe (Manchester United), Andre Wisdom (Liverpool)
Midfielders: Ross Barkley (Everton), Nathaniel Chalobah (Chelsea), Tom Carroll (Tottenham Hotspur), Will Hughes (Derby County), Jesse Lingard (Manchester United), Jonjo Shelvey (Swansea City)
Forwards: Sammy Ameobi (Newcastle United), Saido Berahino (West Bromwich Albion) Thomas Ince (Blackpool), Harry Kane (Tottenham Hotspur), Nathan Redmond (Norwich City), Raheem Sterling (Liverpool), Connor Wickham (Sunderland)
No comments:
Post a Comment