Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Friday, August 16, 2013

KOCHA DAVID MOYES AICHACHAMALIA RATIBA YA MSIMU HUU WA 2013/2014, ASEMA NI NGUMU AMEPANGIWA KUANZA NA TIMU YA CHELSEA, CITY & LIVERPOOL KATIKA MECHI 5 ZA MWANZO

MENEJA wa Manchester United David Moyes ameiponda Ratiba ya Ligi Kuu England na kusema ni ngumu kuiamini. 

Katika Mechi zao tano za kwanza, Mabingwa hao wa England watacheza Nyumbani na Chelsea na Manchester City na pia Ugenini na Liverpool.
Moyes amesema: "Ni ngumu kuamini kwamba hivi ndio Droo ilivyokuwa wakati vipira vya kupanga vikitolewa!"
Moyes amekiri mwanzo huu wa Ligi, ambayo itaanza rasmi Jumamosi Agosti 17 na Man United watacheza Ugenini na Swansea City, ndio mgumu mno katika Miaka 20.

Moyes aliongeza: “Sidhani kama hili ni kwa sababu Man United walishinda Ligi bila taabu na ndio maana safari hii wameifanya ngumu!”
Moyes ameshika wadhifa wa Man United Julai Mosi kutoka kwa Sir Alex Ferguson ambae amestaafu baada ya kuiongoza Klabu hiyo kwa Miaka 26 iliyosheheni Vikombe.

Jumapili iliyopita Moyes aliisimamia Man United ilipocheza na Wigan na kuifunga 2-0 na kutwaa Ngao ya Jamii.
Kwenye Ligi, Man United wataanza kucheza na Swansea Ugenini na kisha kuzikabili Chelsea, Liverpool, Crystal Palace na Manchester City.
Manchester City, waliomaliza Nafasi ya Pili Msimu uliopita, wanacheza na Klabu mbili zilizopanda Daraja Msimu huu, Hull City na Cardiff City.
Chelsea wao watakutana na Timu mbili zilizomaliza Ligi zikiwa nusu ya chini pamoja na Hull, Everton na Man United.
Na Arsenal wataanza kwa kucheza na Timu 4 zilizomaliza Ligi zikiwa nusu ya chini pamoja na kucheza Dabi ya London ya Kaskazini dhidi ya Tottenham ambao nao watacheza na Timu mbili zilizopanda Daraja pamoja na Swansea na Norwich.



MANCHESTER UNITED'S OPENING FIVE FIXTURE FOR THE LAST 20 YEARS
2013/14
Swansea City away; Chelsea home; Liverpool away; Crystal Palace home; Manchester City away


2012/13
Everton away LOST
Fulham home WON
Southampton away WON
Wigan home WON
Liverpool away WON

2010/11
Newcastle home WON
Fulham away DRAW
West Ham home WON
Everton away DRAW
Liverpool home WON

2008/09
Newcastle home DRAW
Portsmouth away WON
Liverpool away LOST
Chelsea away DRAW
Bolton home WON

2006/07
Fulham home WON
Charlton away WON
Watford away WON
Tottenham home WON
Arsenal home LOST

2004/05
Chelsea away LOST
Norwich City home WON
Blackburn away DRAW
Everton home DRAW
Bolton away DRAW

2002/03
West Brom home WON
Chelsea  away DRAW
Sunderland away DRAW
Middlesbrough home WON
Bolton home LOST

2000/01
Newcastle home WON
Ipswich Town away DRAW
West Ham United away DRAW
Bradford City home WON
Sunderland home WON

1998/99
Leicester City home DRAW
West Ham away DRAW
Charlton home WON
Coventry City home WON
Arsenal away LOST

1996/97
Wimbledon away WON
Everton home DRAW
Blackburn Rovers home DRAW
Derby away DRAW
Leeds away WON

1994/95
QPR home WON
Nottingham Forest away DRAW
Tottenham away WON
Wimbledon home WON
Leeds away LOST


2011/12
West Brom away WON
Tottenham home WON
Arsenal home WON
Bolton away WON
Chelsea home WON

2009/10
Birmingham City home WON
Burnley away LOST
Wigan away WON
Arsenal home WON
Tottenham away WON

2007/08
Reading home DRAW
Portsmouth away DRAW
Manchester City away LOST
Tottenham home WON
Sunderland home WON

2005/06
Everton away WON
Aston Villa home WON
Newcastle away WON
Manchester City home DRAW
Liverpool away DRAW

2003/04
Bolton home WON
Newcastle away WON
Wolves home WON
Southampton away LOST
Charlton away WON

2001/02
Fulham home WON
Blackburn away DRAW
Aston Villa away DRAW
Everton home WON
Newcastle away LOST

1999/2000
Everton away DRAW
Sheffield Wednesday home WON
Leeds home WON
Arsenal away WON
Coventry away WON

1997/98
Tottenham away WON
Southampton home WON
Leicester City away DRAW
Everton away WON
Coventry home WON

1995/96
Aston Villa away LOST
West Ham home WON
Wimbledon home WON
Blackburn away WON
Everton away WON

1993/94
Norwich away WON
Sheffield United home WON
Newcastle home DRAW
Aston Villa away WON
Southampton away WON

No comments:

Post a Comment