Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Sunday, June 2, 2013

ALICE ISACK ATWAA TAJI LA MISS REDDS' DAR CITY CENTRE


 Mshindi wa Redd's Dar City Center, Alice Isack (katikati) akiwa na mshindi wa pili, Clarah Paul (kulia) na mshindi wa tatu, Fatma Hussein (kushoto). (Picha na Habari Mseto Blog) Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu (kushoto) akiwa na wadau wa urembo. Warembo walioingia katika hatua ya tano bora. Jaji Mkuu wa shindano hilo Wema Sepetu akiwa na majaji wenzake wakifuatilia shindano la Redd's Miss Dar City Center. Hoyce Temu akitoa utaratibu wa kujibu maswali. Meneja wa Kinywaji cha Redd's, Victoria Kimaro (shoto) akifuatilia shindano hilo. Wasanii wakitoa burudani. Wadau wakifuatilia shindano hilo.Redd's Miss Dar City Center, Alice Issack Washindi wakiwa na zawadi zao.

1 comment:

  1. INASHANGAZA SANA WALE WENYEVIGEZO VYA KUSHINDA TAJI HAWASHINDAGI ILA WALE WENYE UWEZO KIFEZA NA HAWANA VIGEZO VYOVYOTE NDO WANASHINDA JE KWA MTINDO HUU UNAZANIA TANZANIA ITAWEZA KUSHINDA MISS WORD HATA MWAKA MMOJA? TUTASUBIRI SANA NA NCHI NYINGINE ZITAKUWA ZINASHINDA SIE TUTAKUWA WASINDIKIZAJI

    ReplyDelete