Wasanii watakaopigiwa kura kwenye Tuzo za Kili Music Awar 2013 wakiwa kwenye semina iliyofanyika Dar es Salaam.
Mkubwa kutoka kundi la TMK wanaume Family akizungumza wakati wa semina hiyo
Mwansiti akiwa katika pozi baada ya semina kumalizika |
Mama wa Mipasho, Mama Khadija Kopa akiwa katika Pozi la Picha |
Mkurya wa kwanza kuimba taarabu Mama Mashauzi akiwa katika Pozi la Picha |
Mtayarishaji wa nyimbo, Man Walter akizungumza wakati wa Semina hiyo. |
Lina akiwa katika Pozi
No comments:
Post a Comment