Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Thursday, May 2, 2013

DAYNA KUWAPA RAHA WAKAZI WA MULEBA KWENYE SHINDANO LA REDDS MISS MULEBA, MEI 31,2013


Msanii wa nyimbo za kizazi kipya Dayna Nyange ambaye anatarajia kutoa burudani ya muziki kwenye Miss Redd's Muleba na wasanii wengine kibao tarehe 31.05.2013. Ambaye analetwa kwenu na Kareen Fashion na Point View Pub kushirikiana na Jamco Video Production. Siku hiyo ya tarehe 31.5.13 patakuwa  Hapatoshi Waisuka Hotel.
Karibuni sana...

No comments:

Post a Comment