TIMU ya
Mgambo JKT leo imetoshana nguvu na Yanga baada ya kutoka sare ya bao 1-1 kwenye
mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara uliochezwa kwenye uwanja wa Mkwakwani
jijini Tanga.
Yanga ambayo
ilifanya kazi ya kusawazisha kupitia kwa Simon Msuva dakika ya 86 ilianza
kufungwa na Mgambo JKT walijipatia bao kipindi cha kwanza kupitia kwa Issa
Kanduru baada ya kupokea pasi toka kwa Salum mlima
Kikosi cha
Mgambo JKT: Godson Mmasi, Salum Mlima,
Juma Roisana/Yassin Awadh, Bashiru Chanacha, Bakari Mtama, Salum Kipanga,
Chande Magoja/Omar Matwiko, Mussa Mgunda, Issa Kanduru, Fulla Maganga na Nassor
Gumbo.
No comments:
Post a Comment