Mbunifu wa Mavazi Khadija Mwanamboka (kushoto) ambaye pia ndio Mwandaaji wa Bongo Black Ball Party iliyobeba Theme ” Celebrating Tanzania Music” wakati wa uzinduzi wa Kampuni ya Vitu vya Khadija Events & Clothing akiwa na wadau mbalimbali kwenye mnuso wa nguvu uliowakutanisha Masupastaa wa Bongo wadau waliopo kwenye Fashion Industry katika usiku uliopambwa na msanii Mkongwe wa muziki nchini King Kiki a.k.a mzee wa kitambaa cheupe pamoja na burudani kutoka kwa wasanii wa Bongo Flava Linex na Mwasiti. Pichani Bi. Khadija Mwanamboka akiwa na wageni mbalimbali kwenye Red Carpet ndani ya Ukumbi wa Mlimani City.
Designer Ally Rehmtullah ndani ya nyumba.
Blogger Missi Popular aliwakilisha kikazi zaidi.
Gyver Meena and Salma Msangi a.k.a Kimora Lee looking Gorgeous (I think these two Girls rock the night).
Mama Mia….Wow…..!
Ziada Abeid na Salma Msangi a.k.a Kimora Lee.
Dj Peter More akishow love na Bi. Khadija Mwanamboka.
Jackie Cliff.
Ally Remtullah na Mrs. Raqey.
Mr & Mrs. Raqey…..Looking Gorgeous…..
Mrs. Raqey.
Khadija Mwanamboka Showing some love with Mr & Mrs. Raqey.
Sintah a.k.a J wake Lo.
Jamillah Nyangasa.
Geofrey Mwakibete na Bongo Flava Artist Linex.
Frank Gonga na Photobita Geofrey Mwakibete wa Mo Blog
 Stay tune for more pictures right here on
Kwa hisani ya Mo Blog.