Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Tuesday, April 30, 2013

REAL MADRID YATUPWA NJE UEFA CHAMPIONS LEAGUE LICHA YA KUIFUNGA BORUSSIA DORTMUND 2-0 LEO


Timu ya Real Madrid ya Hispania leo imeondoshwa kwenye mashindano ya UEFA licha ya kuifunga Borussia Dortmund mabao 2-0.

Mchezo huo ambao uliochezwa NDANI YA SANTIAGO BERNABEU, Nyumbani kwa Real Madrid, huku mabao ya Ral Madrid yakifungwa na Benzema 82', Ramos 88'Borussian Dortmund wamefuzu kwa mabao 4-3 kwani kwenye mchezo wa awali wiki moja iliyopita walishinda mabao 4-1.



     
  1. Ronaldo akijaribu kumpita mchezaji wa Borussia Dortmund 

No comments:

Post a Comment