Mwanamuziki Nakaaya Sumari ambaye alivuma na wimbo wake wa "Mr
Politician", baada ya kukaa kimya kwa mda mrefu ameachia kibao kinachoitwa
“Utu uzima dawa”
Nakaaya ambaye kwa sasa ni mjamzito wa miezi kadhaa kwenye wimbo
wake mpya amemshirikisha producer Dunga na umetengenezwa chini ya producer
Lamar, maarufu kama “Fish Crab”
Pia hakupenda kuweka wazi baba wa mtoto wake mtarajiwa ila
alisistiza kuwa siyo wa mtu maarufu bali alisema huku akichek ni wa mtakatifu.
Tunakutakiwa
kila la kheri ujifungue salama.
No comments:
Post a Comment