

Kocha wa Aston Villa Paul Lambert na kocha wa Manchester United manager Sir Alex Ferguson wakisalimiana kabla ya mtanange kuanza usiku huu.

Robin van Persie akiwafungulia bao la kwanza Manchester United na kufanya 1-0 Old Trafford

Robin Van Persie akishangilia katikati ni Rafael


Robin van Persieakitupia bao la 2 na kufanya 2-0 dakika ya 13 ya mchezo kwenye uwanja wa nyumbani Old Trafford na kujihakikishia kuja kunyakuwa kiatu


Mchezaji wa Aston Villa Gabriel Agbonlahor akichuana na Rafael

Nipishe wewe.....nisikubabue...

Van Persie akishangilia na kumkumbatia Wayne Rooney baada ya kumpigia pasi safi na kufunga bao dhidi ya Aston Villa leo kwenye uwanja wa Old Trafford.

Kocha wa Aston Villa Paul Lambertakiwabwatukia wachezaji wake kuimarisha ulinzi nyuma baada ya kuchapwa bao la tatu

Sir Alex Ferguson akijipongeza ndani ya Old Trafford usiku huu

Mheshimiwa Glazers naye alikuwepo ndani kuangalia mtanange huo unavyokwenda Old Trafford.

veteran midfielder wa United Ryan Giggs akipigwa kiwiko na Matthew Lowton

Mchezaji wa Aston Villa Joe Bennett akimvuta shati Rafael

Nathan Baker akichuana juu ya mgongo wa Shinji Kagawa
Kocha wa United Sir Alex Ferguson kushoto akiwasisitiza wachezaji wake kuwa makini.

Kipindi cha pili pamoja na timu zote kucheza kwa kujilinda hakuna timu iliweza kumfunga mwenzake mpaka dakika 90 zinaishilila.
Ushindi huu wa United unawaweka kileleni zaidi kwa kupata alama 84 juu ya City wenye alama 68, Huku Aston Villa ikishushwa hadi nafasi ya 17 wakiwa na alama 34.

Van Persie akishangilia bao lake la 24 kwa msimu huu unaishilia ukingoni.
VIKOSI:

Robin van Persie akishangilia hat-trick yake!! kulia ni Veteran Ryan Giggs..

Van Persie akishangilia bao lake la 24 kwa msimu huu unaishilia ukingoni.


Kimenuka.... bosi wa Aston Villa Paul Lambert akijionea bao 3-0 kabla ya mapumziko.

Manchester United: De Gea, Rafael, Evra, Jones, Evans, Valencia, Giggs, Carrick, Kagawa, Rooney (Welbeck 72), Van Persie
Subs not used: Lindegaard, Ferdinand, Buttner, Nani, Cleverley, Hernandez
Booked: Evra
Goals: Van Persie 2, 12, 33
Aston Villa: Guzan, Vlaar, Bennett (Clark 80), Baker, Lowton, N'Zogbia (El Ahmadi 46), Westwood, Delph, Agbonlahor, Benteke, Weimann
Subs not used: Given, El Ahmadi, Holman, Sylla, Bent, Bowery
Referee: Taylor
Attendance: 75,591
Subs not used: Lindegaard, Ferdinand, Buttner, Nani, Cleverley, Hernandez
Booked: Evra
Goals: Van Persie 2, 12, 33
Aston Villa: Guzan, Vlaar, Bennett (Clark 80), Baker, Lowton, N'Zogbia (El Ahmadi 46), Westwood, Delph, Agbonlahor, Benteke, Weimann
Subs not used: Given, El Ahmadi, Holman, Sylla, Bent, Bowery
Referee: Taylor
Attendance: 75,591
No comments:
Post a Comment