Robert Lewandowski akishangilia baada ya kufunga bao dakika ya 8
Ronaldo akionekana kusikitika baada ya kufungwa bao la 1.
Dakika ya 43 Cristiano Ronaldo anasawazisha bao na kufanya 1-1 na kipindi cha kwanza kinamalizika. Kipindi cha pili Dakika ya 50 mchezaji Robert Lewandowski akaongezea Real Madrid bao jingine la pili na kufanya 2-1, Huku Real wakibaki wakiduwaa. Ndani ya Dakika tano tu wakafungwa bao jingine kupitia mchezaji huyo huyo Robert Lewandowski mwenye umri wa miaka 24 mchezaji wa Dortmund na timu ya taifa ya Poland akaipatia bao jingine la tatu na kufanya 3-1. Dakika ya 67 Robert Lewandowski akaipatia bao la nne kwa mkwaju wa penati baada ya mchezaji wa Dortmund kuangushwa eneo hatari na kisha Robert Lewandowski kufunga bao hilo na kufanya 4-1 dhidi ya Real Madrid.
Ronaldo akisawazisha bao hilo na kufanya 1-1
Ronaldo akishangilia
VIKOSI:
Dortmund: Weidenfeller, Subotic, Hummels, Piszczek (Grosskreutz 82) , Schmelzer, Bender, Gundogan, Reus, Gotze, Lewandowski, Blaszczykowski (Kehl 82)
Subs: Langerak, Leitner, Sahin, Schieber, Santana
Goal: Lewandowski 8, 50, 55, 67
Real Madrid:Diego López, Varane, Pepe, Sergio Ramos, Coentrão, Khedira, Ronaldo, Özil, Xabi Alonso (Kaka 80), Modric (Di Maria 68), Higuaín (Benzema 69)
Subs: Casillas, Albiol, Callejon, Nacho
Goal; Ronaldo 43
Referee: Bjorn Kuipers
RATIBA/MATOKEO
NUSU FAINALI
Jumanne Aprili 23
Bayern Munich 4 v Barcelona 0
Jumatano Aprili 24
Borussia Dortmund 4 v Real Madrid 1
MARUDIANO
Jumanne Aprili 30
Real Madrid v Borussia Dortmund
Jumatano Mei 1
Barcelona v Bayern Munich

Defender Pepe akijitetea akitaka kumvuta mchezaji wa DortmundCristiano Ronaldo na Mats Hummells wakichuana usiku huu.
Mchezaji wa Dortmund Lewandowski akionesha kwa vidole juu baada ya kufunga hat-trick na kuongeza baadaye bao la 4 peke yake!
VIKOSI:
Dortmund: Weidenfeller, Subotic, Hummels, Piszczek (Grosskreutz 82) , Schmelzer, Bender, Gundogan, Reus, Gotze, Lewandowski, Blaszczykowski (Kehl 82)
Subs: Langerak, Leitner, Sahin, Schieber, Santana
Goal: Lewandowski 8, 50, 55, 67
Real Madrid:Diego López, Varane, Pepe, Sergio Ramos, Coentrão, Khedira, Ronaldo, Özil, Xabi Alonso (Kaka 80), Modric (Di Maria 68), Higuaín (Benzema 69)
Subs: Casillas, Albiol, Callejon, Nacho
Goal; Ronaldo 43
Referee: Bjorn Kuipers
RATIBA/MATOKEO
NUSU FAINALI
Jumanne Aprili 23
Bayern Munich 4 v Barcelona 0
Jumatano Aprili 24
Borussia Dortmund 4 v Real Madrid 1
MARUDIANO
Jumanne Aprili 30
Real Madrid v Borussia Dortmund
Jumatano Mei 1
Barcelona v Bayern Munich
No comments:
Post a Comment