Rafu mbaya ambayo refa Foy
hakuiona ya miguu miwili ni pale Segio Aguero wa Man City alipomrukia David
Luiz kwa miguu miwili, rafu ambayo ilistahili Kadi Nyekundu.
Lakini Luiz amesema hana kinyongo kwa rafu hiyo kwani kawaida Aguero si Mchezaji mchafu.
Nae Benitez, ambaye Timu yake Chelsea sasa ina nafasi moja tu iliyobaki kutwaa Kikombe Msimu huu ambayo ni kupitia EUROPA LIGI ambako wako Nusu Fainali na watacheza na Basel FC hapo Aprili 25, amesema mkazo wao sasa ni kwenye BPL, Barclays Premier League, ambako nia yao ni kumaliza kwenye 4 bora ili Msimu ujao wacheze Ulaya.


Angalia hapa..



No comments:
Post a Comment