Bayern wakicheza vyema UEFA CHAMPIONS kwenye uwanja wao ndani ya Allianz Arena Mjini Munich Ujerumani leo Jumanne Aprili 23 kwa Mechi kati ya Bayern Munich na Barcelona kwenye mchezo wa kwanza wa Nusu fainali wameweza kufunga bao la kwanza kupitia mchezaji wao Thomas Muller dakika ya 25 na kuweza kumaliza kipindi cha kwanza wakiwa na bao 1-0 dhidi ya barcelona.
Mchezaji wa Bayern Munich Arjen Robben akimwachia shuti kali kipa wa Barca Victor Valdes
Mchezaji matata wa Barcelona Lionel Messi na Franck Ribery wakichuana kugombea mpira usiku huu.
Kipindi cha pili kilipoanza Bayern kwa kufuata kanuni walizopewa na kocha wao za kupiga mpira wa chini wakafanikiwa kupata bao la pili kupitia mchezaji wao Mario Gomez dakika ya 49 na kufanya 2-0 dhidi ya Barcelona na pia Bayern kukosa mabao kadhaa ya wazi.

Kocha wa Bayern Munich Jupp Heynckes akiangalia vijana wake wakisukuma ngozi uwanjani uwanjani kwao Allianz Arena usiku huku akiwasisitiza kucheza pasi za chini zaidi.
Mchezaji Thomas Muller akiwapatia bao Bayern Munich dakika ya 25
Mchezaji Thomas Muller wa Bayern akishangilia baada ya kuipatia bao na kuongoza kwa bao 1-0 dhidi ya Barcelona kwa kipindi cha kwanza.
Mchezaji wa Bayern Munich David Alaba akikabwa na Pedro Rodriguez wa Barcelona.
Dakika ya 49 anaitwa Mario Gomez akishangilia baada ya kuichinja Barca.
Bao ta tatu lilifungwa na Robben dakika ya 73 na la nne lilifungwa na Thomas Muller dakika ya 82
VIKOSI:
Bayern Munich: Neuer, Lahm, Boateng, Dante, Alaba, Javi Martinez, Schweinsteiger, Robben, Muller (Pizarro 83), Ribery (Shaqiri 89), Gomez (Luiz Gustavo 71).
Subs: Starke, Van Buyten, Rafinha, Tymoschuk.
Goal: Muller 25, 82, Gomez 49, Robben 73.
Barcelona: Valdes, Dani Alves, Pique, Bartra, Jordi Alba, Xavi, Busquets, Iniesta, Sanchez, Messi, Pedro (Villa 83).
Subs: Pinto, Fabregas, Villa, Thiago, Montoya, Abidal, Song.
Referee: Viktor Kassai (Hungary)
RATIBA/MATOKEOMchezaji wa Bayern Munich David Alaba akikabwa na Pedro Rodriguez wa Barcelona.
Mario Gomez (kulia) akiwafungia Bayern Munich bao la pili na kufanya 2-0 dhidi ya Barcelona
Bao ta tatu lilifungwa na Robben dakika ya 73 na la nne lilifungwa na Thomas Muller dakika ya 82
VIKOSI:
Bayern Munich: Neuer, Lahm, Boateng, Dante, Alaba, Javi Martinez, Schweinsteiger, Robben, Muller (Pizarro 83), Ribery (Shaqiri 89), Gomez (Luiz Gustavo 71).
Subs: Starke, Van Buyten, Rafinha, Tymoschuk.
Goal: Muller 25, 82, Gomez 49, Robben 73.
Barcelona: Valdes, Dani Alves, Pique, Bartra, Jordi Alba, Xavi, Busquets, Iniesta, Sanchez, Messi, Pedro (Villa 83).
Subs: Pinto, Fabregas, Villa, Thiago, Montoya, Abidal, Song.
Referee: Viktor Kassai (Hungary)
NUSU FAINALI
Jumanne Aprili 23
Bayern Munich 4 v Barcelona 0
Jumatano Aprili 24
Borussia Dortmund v Real Madrid
MARUDIANO
Jumanne Aprili 30
Real Madrid v Borussia Dortmund
Jumatano Mei 1
Barcelona v Bayern Munich
No comments:
Post a Comment