Mchezaji wa Barcelona Cristian Tello akishangilia baada ya
kuiua Real Zaragoza. Picha na: Albert Gea/Reuters


Mchezaji Tello (katikati) akifunga bao la tatu
Athletic Bilbao 0 vs Real Madrid 3: Ronaldo akifunga bao la 49 na 50.

Cristiano Ronaldo akifunga bao safi la kichwa

Ronaldo akishangilia bao lake na kushoto ni Marcelo jana
usiku
Bao hizo mbili za Ronaldo zimemfanya afikishe Bao 31 Msimu huu kwenye La Liga na kuifanya Real ifikishe Pointi 68 wakiwa Pointi 13 nyuma ya Vinara Barcelona.
Anaeongoza kwa ufungaji bora la La Liga ni Lionel Messi mwenye Bao 43.
Katika mechi ya Real Zaragoza na Barcelona, Thiago Alcantara ndie aliefunga Bao la kwanza na nyingine mbili kufungwa na Cristian Tello.
Barcelona ilicheza bila Nyota wake Lionel Messi ambae anauguza maumivu ya Musuli za Paja.
RATIBA/MATOKEO:
LA LIGA
Ijumaa Aprili 12
Betis 3 Sevilla 3
Jumamosi Aprili 13
Valladolid 2 v Getafe 1
Levante 0 v Deportivo 4
Espanyol 3 v Valencia 3
Malaga 1v Osasuna 0
Jumapili Aprili 14
Rayo Vallecano 0 v Real Sociedad 2
Atletico Madrid 5 v Granada 0
Zaragoza 0 v Barcelona 3
Athletic Bilbao 0 v Real Madrid 3
Leo Jumatatu Aprili 15
[SAA 19:00]
Mallorca - Celta Vigo
No comments:
Post a Comment