Norwich City ndiyo waliotangulia kufunga kwa Bao la kichwa la Wes Hoolahan lakini walipata pigo kubwa katika Dakika ya 30 Kipa wao Mark Bunn alipotolewa kwa Kadi Nyekundu kwa madai alidaka nje ya Boksi.
Kisha Sunderland wakasawazisha Bao kupitia Craig Gardner kupitia kwa Penati tata kwa kudaiwa Mchezaji wa Norwich aliunawa Mpira.
Refa Chris Foy akionesha mapenzi kwa timu ya Sunderland ambao tarehe 30 wataikaribisha timu ya Manchester United Kwao.
Sare hii inawafanya Sunderland kushika nafasi ya 15 wakiwa na alama 31 na Norwich City wakiwa nafasi ya 12 wakiwa na alama 34 juu ya Newcastle wenye pointi 33.
Kipa Bunn akiingia kwa nguvu na kuupangua mpira huo kwa
mikono nje ya eneo lake
Craig Gardner akichuana na mchezaji wa Norwich Wes Hoolahan Wachezaji wa Norwich City wakishangilia na kupongezana baada ya Wes Hoolahan kuwapachikia baoJohn O'Shea and Norwich City's Wes HoolahanSteven Fletcher of Sunderland try's to close down Jonathan HowsonWes Hoolahan akishangilia baada ya kuipatia Norwich bao na kufanya 0-1 dhidi ya SunderlandKocha Martin O'Neill akijionea mtanange kuwa mgumu jioni hii.Craig Gardner wa Sunderland akiwazawazishia kwa penati na kufanya 1-1 dakika ya 40
VIKOSI:
Sunderland: Mignolet, Gardner, O'Shea, Cuellar
(Bramble 71), Rose, Johnson (Wickham
84), Vaughan, Larsson, Sessegnon, Fletcher, Graham (McClean 75).
Subs Not Used: Westwood, Bardsley, N'Diaye,
Colback.
Booked: Larsson.
Goals: Gardner 40 pen.
Norwich: Bunn, Martin, Bassong, Turner,
Garrido, Elliott Bennett, Johnson,
Howson, Snodgrass (Whittaker 88), Hoolahan (Camp 31), Kamara (Holt
64).
Subs Not Used: Jackson, Fox, Becchio, Ryan
Bennett.
Sent Off: Bunn (30).
Booked: Snodgrass, Holt,
Camp.
Goals: Hoolahan 26.
Att: 38,625
Ref: Chris Foy
(Merseyside).
No comments:
Post a Comment