Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Sunday, March 17, 2013

PATA UHONDO WA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI MASHABIKI WA SOKA TABORA WAKIFURAHIA RHINO RANGERS KUKATA TIKETI YA KUCHEZA LIGI KUU MSIMU UJAO

Mmoja kati ya wachezaji wa Rhino akibebwa na washabiki baada ya mechi kali dhidi ya Polisi Dom

Baadhi ya mashabiki wa Rhino wakiwa jukwaani wakishangilia timu yao katika mtanange kati ya Rhino na Polisi Dom.

Baadhi ya watangazaji wa Radio CG FM ya hapa mkoani Tabora wakitangaza mechi kati ya Rhino na Polisi Dodoma ambapo Rhino iliicharaza Polisi bao moja kwa sifuri katika uwanja wa Ally Hassan Mwinyi mjini Tabora

No comments:

Post a Comment