
Chelsea iliyokuwa
nyuma katika kipindi cha kwanza imefanikiwa
kupata sare ya bao 2-2 katika mchezo wa robo
fainali ya michuano ya FA mchezo ulipigwa katika dimba la na sasa wakisubiri mchezo wa marudiani utakao amua nani wa kusonga mbele.
Javier Hernandez alianza kuiandikia United bao
kunako dakika ya 5 kwa kichwa kufuatia krosi ya
Michael Carrick.
Dakika sita baadaye Wayne Rooney, akaindika bao la
pili baada ya kupiga mpira wa adhabu ulikwenda moja kwa moja
wavuni.
Lakini hata hivyo
Chelsea kutoka London ya Kaskazini
wakafanikiwa kuandika mabao ya
kusawazisha kupitia kwa Eden Hazard aliyetokea benchi na Ramires.


Javier Hernandez akiandika
bao la kwanza.


John Terry alilazimika kuwa mtazamaji katika
benchi.

Shinji Kagawa akipambana na Cezar Azpilicueta.

Tom Cleverley na Demba
Ba




Ramires akishangilia


Better the devil you know: Sir Alex Ferguson walks
with mascot Fred the Red

Javier Hernandez akipambana na Gary
Cahill
No comments:
Post a Comment