Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Thursday, March 14, 2013

HAPPYBIRTHDAY YA MWANA FA YAFANA, AOGESHWA UKUMBINI

 
JANA ilikuwa ni siku ya kuzaliwa kwa Rapper Hamisi Mwinjuma (FA), 13/03. Siku hizi watu hawawazi nini cha kukuletea kwenye birthday yako, bali wakumwagie nini ikiambatana na ndoo yenye maji..na hicho ndicho kilichokamilisha birthday ya  Mwana FA...Tunakutakia maisha marefu na burudani tele..Happy birthday


Safi AY, maana nakumbuka mwaka jana birthday yangu, nilibebwa kama mbuzi aliechinjwa na mkanimwagia maji ya baridi, tena ya ndani ya friji kabisa..zamu yako sasa Fa hahahaaa, Happy birthday Bro

Ay akiwa na mshkaji wake wa karibu sana FA na Salama J

hi hi hi hiiiiiii

No comments:

Post a Comment