AC MILAN 2 BARCELONA 0
AC Milan wameishangaza Dunia baada ya kuwafunga Timu Kigogo Barcelona jana usiku. Ac Milan wakicheza kwa kuzuia na kwa kujiamini wakiwa kwao San Siro jijini Milano waliwafunga Barca goli hizo mbili zilizofungwa kipindi cha kwanza na kipindi cha pili. Frikiki ya AC Milan ilipenyezwa kwa Riccardo Montolivo alieachia kigongo kilichobabatiza Wachezaji kadhaa na kutua kwa Kevin-Prince Boateng aliefunga Bao la kwanza kwa AC Milan katika Dakika ya 57.
Bao la pili lilifungwa na Sulley Muntari katika Dakika ya 81 baada ya kazi nzuri ya M'Baye Niang na Stephan El Shaarawy. Ushindi huu wa Ac Milan Umewapa nafasi nzuri ya kukutana tena nyumbani kwa Barcelona kwani Barca watakuwa na kazi ngumu ya kurudisha goli zote mbili na kuongeza goli la tatu. Kitu ambacho kitakuwa ni kazi kweli kweli kwa ya Barca kuifunga Ac Milan katika raundi ya mtoano ya imu 16 ya UCL, UEFA CHAMPIONS LEAGUE.
Kevin-Prince Boateng, Akishangilia dakika ya 57 baada ya kufunga goli la kwanza.
Dalili za kukabwa na kubanwa...Messi (kushoto) na Daniel
Alves (kulia) wakiwa chini wanalalamika...
Cesc Fabregas, akichuana vikali na Boateng
Boateng akiangalia mashabiki kuungana nao kushangilia
ushindi huo wa nyumbani
Mchezaji Bora Duniani, Lionel Messi akiwa hoi ...
akijionea kipigo hicho cha 2-0
Lionel Messi hiyo jana
hakuonekana
AC Milan: Abbiati, Abate, Mexes, Zapata,
Constant, Ambrosini, Montolivo, Muntari, Boateng, Pazzini (Niang 75), El
Shaarawy (Traore 88).
Subs Not Used: Amelia, De Sciglio, Bojan, Cristante, Yepes.
Booked: Mexes, Traore.
Goals: Boateng 57, Muntari 81.
Barcelona: Valdes, Dani Alves, Pique, Puyol (Mascherano 88), Jordi Alba, Xavi, Busquets, Fabregas (Sanchez 62), Pedro, Messi, Iniesta.
Subs Not Used: Pinto, Thiago, Montoya, Song, Tello.
Booked: Busquets, Pique.
Att: 75,000.
Ref: Craig Thomson.
Subs Not Used: Amelia, De Sciglio, Bojan, Cristante, Yepes.
Booked: Mexes, Traore.
Goals: Boateng 57, Muntari 81.
Barcelona: Valdes, Dani Alves, Pique, Puyol (Mascherano 88), Jordi Alba, Xavi, Busquets, Fabregas (Sanchez 62), Pedro, Messi, Iniesta.
Subs Not Used: Pinto, Thiago, Montoya, Song, Tello.
Booked: Busquets, Pique.
Att: 75,000.
Ref: Craig Thomson.
No comments:
Post a Comment