WASANII WA BONGO MOVIE WAPAGAWISHA MASHABIKI DAR LIVE
Tamasha la Usiku wa Mastaa wa Filamu
lililofanyika usiku wa kuamkia leo katika Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar
Live uliopo Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam limeacha historia baada ya
kutawaliwa na burudani za kila aina kutoka kwa wasanii wa filamu na wale wa
Bongo Fleva. Pichani juu ni baadhi ya matukio yaliyochukua nafasi wakati wa
tamasha hilo. (PICHA ZOTE: ERICK EVARIST NA MUSA MATEJA/GPL)
Post a Comment