Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesema kuwa Ofisa Habari wake, Boniface Wambura ameteuliwa na Shirikisho
la Mpira wa Miguu la Afrika (CAF) kuwa mmoja wa maofisa watakaoshughulikia
masuala ya habari wakati wa fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wanawake
zitakazofanyika nchini Equatorial Guinea.
Uteuzi huo umefanywa na Rais wa CAF, Issa Hayatou kwa ajili
ya kufanikisha uendeshaji wa fainali hizo za Mataifa ya Afrika kwa Wanawake
zilizopangwa kuanza Oktoba 28 mwaka huu na kumalizika Novemba 11 mwaka huu.
Wambura atakuwa mmoja wa maofisa watatu watakaoshughulikia
habari kwenye fainali hizo. Wengine ni ofisa kutoka makao makuu ya CAF, Mahmoud
Garga na Arlindo Macedo kutoka Angola.
Wambura atakuwa ni Mtanzania pekee kwenye Kamati ya Maandalizi
ya fainali hizo, kitu ambacho TFF inajivunia kutoa mwakilishi kwenye moja ya
mashindano makubwa ya mpira wa miguu Tanzania.
Rais wa TFF, Leodegar Tenga ameelezea uteuzi huyo kuwa ni matokeo ya kazi nzuri ambayo
Wambura amekuwa akiifanya tangu ajiunge na Shirikisho Januari mwaka 2011.
“Taarifa zake mbalimbali zimeifanya Tanzania iwe inang’ara
CAF na hata FIFA kwa kuwa kwa sasa wanajua kila kinachoendelea kwenye soka la
Tanzania,” alisema Rais Tenga na kumtakia Wambura kila la kheri kwenye kazi
hiyo atakayoifanya kwa takriban siku 14.
Katibu Mkuu wa TFF, Angetile Osiah, akizungumza kwa niaba ya
Sekretarieti, amemtakia Wambura kazi njema na kwamba awe kioo cha mabadiliko
makubwa yanayoendelea kwenye soka la Tanzania.
Wambura alijiunga na TFF Januari, 2011 akiwa mmoja wa
waajiriwa watatu wapya kwenye Shirikisho baada ya wsatendajiu wengine wawili
kumaliza muda wao wa mikataba.
Wambura ni mwandishi wa habari mwandamizi ambaye ameshafanya
kazi kwenye vyombo mbalimbali kuanzia kazi ya uandishi hadi Mhariri Mtendaji wa
gazeti la Jambo Leo ambalo alikuwa akifanya kazi kabla ya kujiunga na TFF
ORODHA YA WAHUSIKA WOTE HII HAPA
CONFEDERATION AFRICAINE DE FOOTBALL
3
Abdel Khalek Tharwat Street, El Hay El Motamayez, P.O. Box 23
6th
October City, Egypt.
Tel.:
202 3837 1000 / Fax : 202 3837 0006
CAF DELEGATION FOR THE 8th
AFRICAN WOMEN CHAMPIONSHIP
EQUATORIAL GUINEA, MALABO & BATA - 28 Oct. – 11 Nov. 2012
CAF President:
Issa Hayatou (Cameroon)
CAF General
Secretary Hicham El Amrani (Morocco) - partly
Organising
Committee for Women
Molefi Oliphant
(South Africa) President
Nastasia Tchislas
(South Africa) Vice-President
Izzetta Wesley
(Liberia) Member
Palmira Francisco
(Mozambique) Member
Ibrahima Barry
(Guinea) Member
Lydia Nsekera
(Burundi) Member
John Muinjo
(Namibia) Member
Souadatou
Djallo-Kalkaba (Cameroon) Member
Nathalie Basque
(Côte d’Ivoire) Member
Mariyatta Abdou
Chacour (Comoros) Member
Hilda Addah
(Ghana) Member
Beatrice Nsolo
(Gabon) Member
Disciplinary
Board
M. Augustin
Emmanuel Senghor (Senegal) Chairman
George William Wah
(Liberia) Member
Board
of Appeal
Prosper Abega
(Cameroon) Chairman
Referees’
Committee
Tarek Bouchamaoui
(Tunisia) Chairman
Sinko Zeli (Côte
d'Ivoire) Member
Kalombo Bester
(CAF) CAF Refereeing Manager
Medical
Committee
Adoum Djibrine
(Tchad) Chairman
Dr. Zakia Bartagi
(Tunisia) Member
Dr. Moolla (South
Africa) Member
CONFEDERATION AFRICAINE DE FOOTBALL
3
Abdel Khalek Tharwat Street, El Hay El Motamayez, P.O. Box 23
6th
October City, Egypt.
Tel.:
202 3837 1000 / Fax : 202 3837 0006
Technical
Study Group
Fran Hilton Smith
(South Africa) Member
Jacquelline
Shipanga (Namibia) Member
General
Coordinators
Sue Destombes
(South Africa) Group A
Djibril Traore
(Mali) Group B
Assistant
General Coordinators
Alex Asante
(Ghana) Group A
Yaouba Hamoa
(Cameroon) Group B
Media
Officers
Mahmoud Garga
(CAF)
Boniface Wambura
(Tanzania)
Arlindo Macedo
(Angola)
Presidential
Office
Ibrahim Kouramou
(Cameroon) Attaché
Baba Mohammadou
(Cameroon) Attaché
Richard Ngue
(Cameroon) Attaché
Seidou Mbombo
Njoya (Cameroon Protocol
CAF
Secretariat
Essam Ahmed Deputy
Secretary General
Heba Abdallah
Event Director and Senior Manager of
Women competitions
Khaled Nassar
Assistant to the Event Director
Amr Shaheen
Marketing Director
Inas Fahmy Travel
Manager
Mohamed Sherei
Finance Deputy Director
Fayez Nahal
Accounting Manager
Amina Kassem Head of Disciplinary sector & event secretary
Sherif Ahmed Doping matters and Transport
No comments:
Post a Comment