Ernie Brandts kocha wa Yanga akiwasili uwanjani |
Milovan Circovic kocha wa Simba akiwasili uwanjani |
Wachezaji wa Yanga wakishuka kwenye basi |
Wachezaji wa Simba wakishuka kwenye basi |
Wachezaji wa Yanga wakipasha kabla ya mchezo kuanza |
Wachezaji wa Simba wakipasha kabla ya mechi kuanza |
Baadhi ya mashabiki wa Yanga waliohudhuria |
Baadhi ya mashabiki wa Simba waliohudhuria |
:"Nakutakia mchezo mwema" Makocha wakitakiana kila la kheri |
Beki wa Yanga Kelvin Yondani akitolewa nje kwa machela baada ya kuumia |
Waamuzi wakitoka uwanjani |
Daniel Akuffo na Yaw Berko ambao ni raia wa Ghana wakisalimia baada ya mchezo kumalizika |
Hivi ndivyo matokeo yalivyosomeka baada ya dakika 90 |
No comments:
Post a Comment