Kikosi cha Simba na kocha wa magolikipa |
Kiungo wa Simba Salim Kinje akipambana na Humphrey Mteno wa Sofapaka kwenye mchezo wao wa kirafiki uliochezwa jana uwanja wa Taifa. |
Daniel Akuffo akitolewa nje ya uwanja baada ya kuzimia sekunde kadhaa kugongana na beki wa Sofapaka |
Mlinda mlango wa simba akiwa hewani kudaka mpira wakati wa mchezo wao na Sofapaka ya Kenya |
Wachezaj wa Sofapaka wakishangilia bao la kwanza |
Benchi la ufundi la Simba |
Kikosi cha Simba wakipeana moyo kabla ya mchezo kuanza |
Benchi la ufundi la Sofapaka |
No comments:
Post a Comment