Mkurugenzi Mkuu wa TBL, Robin Goetzsche kulia akimkabidhi mfano wa
ufunguo, Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Clement Sanga wakati wa hafla ya
kukabidhi basi jipya kwa klabu hiyo. TBL ndio mdhamini Mkuu wa klabu za
Simba na Yanga.
Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage akipokea mfano wa ufunguo kutoka
kwa Mkurugenzi Mkuu wa TBL, Robin Goetzsche kama ishara ya makabidhiano
ya basi jipya lililotolewa na kampuni ya Bia Tanzania (TBL) katika hafla
iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo
Viongozi wa Simba na Yanga wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya maofisa wa TBL
Mabasi ya Simba na Yanga
Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage akicheza sambamba na mashabiki wa
timu hiyo wakionesha furaha yako baada ya Kampuni ya Bia Tanzania TBL
kuvikabidhi klabu za Simba na Yanga mabasi mapya katika hafla
iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.
No comments:
Post a Comment