Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Monday, September 10, 2012

MALINZI AFUNGA MASHINDANO YA 51 YA RIADHA TAIFA DAR ES SALAAM


Viongozi wa riadha wakiwa wakiwa na Malinzib na Meja generali Sarakikya


Nahodha wa Mjini Magharibi akipokea kombe baada ya kutangazwa washindi wa jula wa riadha 2012

Malinzi akiwaahutubia wanamichezo wa riadha

Mwenyekiti wa baraza la michezo Dioniz Malinzi akiwa na wanariadha wa mbio za kupokezana vijiti baada ya kuwavisha medali zao

Wanariandha wa Mjini Magharibi waliosimama wakipinga matokeo yaliyotangaza Arusa mshindi wa Jumla, wakidai wao ndio washindi wa  jumla na baada ya kuhakiki madeli mjini Magharibi walioneka ndio washindi.

No comments:

Post a Comment