Pages
▼
Sunday, May 13, 2018
COASTAL UNION YAMTUNUKU TUZO WAZIRI UMMY MWALIMU
Waziri
wa Afya,Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ambaye
pia ni Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga (CCM) kushoto akipokea tuzo
ya heshima ya kutambua mchango wake kwa kuipandisha timu ya Coastal
Union kucheza Ligi kuu msimu ujao kutoka kwa Mwenyekiti wa Baraza la
Wazee la Klabu hiyo Salimu Bawaziri mapema leo kwenye viwanja vya CCM
Mkwakwani mjini Tanga wakati alipofungua mashindano ya Ligi ya Banda Cup
.
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu
ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga (CCM) katika
akionyesha waandishi wa habari tuzo aliyokabidhiwa na klabu ya Coastal
Union kwa kutoa mchango wake kuipandisha kucheza Ligi kuu msimu ujao
kushoto ni Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Shinyanga (CCM) Azzah Hamadi
Hilali
Waziri
wa Afya,Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ambaye
pia ni Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga (CCM)kushoto akipokea cheti
kutoka kwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la Klabu ya Coastal Union Salim
Bawaziri ikiwa ni kutambua mchango wake wa kuisaidia timu hiyo kuweza
kupanda daraja kucheza ligi kuu msimu ujao tuzo hiyo walikabidhiwa pia Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Mazingira na Muungano
January Makamba ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Bumbuli(CCM) na Naibu
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo
la Pangani(CCM),Asas ya Iringa na Mo Dewji.
No comments:
Post a Comment