OMMY DIMPOZI, DARASSA, MR BLUE NA CHEGE WALIVYOPAGAWISHA FIESTA TABORA
| Benpol akiwapagawisha wakazi wa Mkoa wa Tabora katika Tamasha la Tigo Fiesta katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora |
| Msanii wa bongo fleva Mr Blue akitumbuiza kwenye uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora wakati wa tamasha la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia leo |
| Chege akitumbuiza kaaika jukwaa la Tigo Fiesta |
| Darassa akitumbuiza kaaika jukwad la Tigo fiesta mapema usiku wa kuamkia leo mkoani Tabora. |
| Ommy Dimpoz akiburudisha wakazi wa Tabora waliojitokeza kwa wingi katika viwanja vya Ally Hassan Mwinyi Tabora |
| Jux akitummbuiza wakazi wa Tabora. |
| Jux katika jukwaa la Tigo Fiesta katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora |
| Maua Sama akiimba kwa hisia |
| Maelfu ya wakazi wa Tabora wakiwa katika Tamasha la Tigo Fiesta mapema usiku wa kuamkia leo. |
Post a Comment