YANGA YAIFUNGA NGAYA MABAO 5-1
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Yanga imeibuka na ushindi wa mabao 5-1 kwenye mchezo wa klabu bingwa Afrika dhidi ya Ngaya uliochezwa Moroni, Comoro leo.
Mabao ya Yanga yalifungwa na Justine Zulu, Simon Msuva, Obrey Chirwa na Thabani Kamusoko akafunga mawili.
Post a Comment