Klabu
ya Crystal Palace imethibitisha kumsajili mshambuliaji Christian
Benteke kutoka Liverpool kwa ada ya pauni milioni 32 ambayo ni kubwa
kuwahi kutokea kwa klabu hiyo kusajili. Benteke alikuwa jijini London
tangu jana Ijumaa kwa ajili ya vipimo vya afya ambapo baada ya
kukamilisha taratibu alitambulishwa rassmi. Usajili huo umekuja baada ya
mchezaji huyo kutokuwa katika wakati mzuri kwa kushindwa kutamba
Liverpool tangu alipotua akitokea Aston Villa. Akizungumzia juu ya
usajii huo, Benteke ambaye ana umri wa miaka 25 alisema: “Nina furaha
kutua Crystal Palace
Samia aweka shada kaburi la askari asiyefahamika
-
Na Beda Msimbe, TBN,Moscow
KENGELE kubwa iliyogongwa mara tisa, bendi ya jeshi ikiongoza nyimbo za
maombolezo Rais Samia Suluhu Hasan majira ya saa ta...
CCM kuna Yuda au ni homa ya urais 2030?
-
Mitandao ya kijamii nchini Tanzania imelipuka kwa mjadala kuhusu jina moja
tu - "Yuda". Limeibuliwa na mwanasiasa Simai Mohammed Said. Yuda ni nani?
Kwanin...
Welcome to the Jungle: Arusha’s Wildest Afternoon
-
Most safari guides tell you to head straight to the Serengeti. But if you
want a wild, unfiltered, face-to-face encounter with Africa’s finest in
jus...
NI SIMBA QUEENS MABINGWA LIGI YA WANAWAKE TZ BARA
-
TIMU ya Simba Queens imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Soka ya
Wanawake Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 5-2 dhidi ya Mashujaa
Queens jion...
WASIRA AWATOLEA UVIVU WALIOANZA MBIO ZA URAIS
-
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Stephen
Wasira, Leo Machi 27, 2026, Mjini Bunda Mkoa wa Mara alipokuwa akiweka
jiwe la ms...
Post a Comment