WINGA wa kimataifa wa
Tanzania,anayekipiga Azam FC Farid Mussa Malik amefuzu majaribio ya
kucheza soka la kulipwa katika klabu ya Deportivo Tenerife ya Ligi
Daraja la pili nchini Hispania maarufu kama Segunda B.
Habari hiyo njema kwa soka la Tanzania imeripotiwa na Mkurugenzi wa Azam
FC, Yussuf Bakhresa anayefuatilia majaribio ya mchezaji huyo huko
Hispania,.
Kilichobaki sasa ni vilabu vya CD Tenerife na Azam FC kukaa mezani na
kufanya mazungumzo juu ya kuuziana mchezaji huyo anayekipiga pia Taifa
Stars.
Make Money Online : http://ow.ly/KNICZ
Make Money Online : http://ow.ly/KNICZ
SASA ni dhahiri kwamba, winga mahiri
nchini Farid Mussa Malik anayeichezea Azam FC ya Dar es Salaam, ameingia katika
anga za soka la kimataifa.
Hatua hiyo imekuja baada ya nyota huyo wa
kimataifa wa Tanzania kufaulu katika majaribio yake alioyokuwa anafanya katika
klabu ya Ligi Daraja la Kwanza nchini Hispania, Deportivo Tenerife.
Hayo yamethibitishwa na Mkurugenzi wa Azam
FC, Yussuf Bakhresa akisema klabu hiyo sasa inatarajiwa kuingia katika
mazungumzo na Azam juu ya kumnunua moja kwa moja mchezaji huyo, badala ya
kumtwaa kwa mkopo kama walivyokuwa Wahispania hao.
Mtandao wa binzubeiry.co.tz, umemnukuu
Bakhresa akisema; “Tunatarajia kuanza mazungumzo nao
juu ya suala la Farid, ingawa wazo lao la awali ni kumchukua kwa mkopo wa miaka
miwili. Sasa tunasubiri ofa yao rasmi, kisha Bodi ya Ukurugenzi
itajadili na kutoa maamuzi.”
Naye Farid ameelezea kufurahia matokeo ya
majaribio yake, akisema haikuwa kazi nyepesi kwake kuweza kuwaridhisha maofisa
wa benchi la ufundi la Tenerife.
“Kwa kweli nimefurahi sana na ninamshukuru Mungu kwa kufuzu majaribio, ila haikuwa kazi nyepesi,
mpira wa Ulaya mgumu,”amesema.
Awali, Farid ilikuwa apelekwe moja ya
klabu za Ligi Kuu ya Hispania, maarufu kama La Liga, kati ya Las Palmas na
Athletic ya Bilbao kwa majaribio, lakini wakala wake akashauri mchezaji huyo
aanzie timu ya Daraja la Kwanza Hispania ili kupata nafasi ya kucheza na
kuinuka haraka.
WINGA wa kimataifa wa
Tanzania,anayekipiga Azam FC Farid Mussa Malik amefuzu majaribio ya
kucheza soka la kulipwa katika klabu ya Deportivo Tenerife ya Ligi
Daraja la pili nchini Hispania maarufu kama Segunda B.
Habari hiyo njema kwa soka la Tanzania imeripotiwa na Mkurugenzi wa Azam
FC, Yussuf Bakhresa anayefuatilia majaribio ya mchezaji huyo huko
Hispania,.
Kilichobaki sasa ni vilabu vya CD Tenerife na Azam FC kukaa mezani na
kufanya mazungumzo juu ya kuuziana mchezaji huyo anayekipiga pia Taifa
Stars.
Make Money Online : http://ow.ly/KNICZ
Make Money Online : http://ow.ly/KNICZ
No comments:
Post a Comment