Brendan Rodgers Akiwa amepoti kwenye picha na Jezi ya Klabu yaleo Celtic wakati wa Utambulisho leo na Hapa alikuwa kwenye Mkutano na Waandishi wa Habari(Hawapo pichani)
Meneja mpya wa Celtic
Rodgers akiwa karibu na Celtic chief executive Peter Lawwell (kushoto) na Mwenyekiti wa Klabu hiyo Ian Bankier (kulia)
Rodgers akimwaga wino
Rodgers akishikana mkono wa Kheri na Bwana Lawwell baada ya kusaini Mkataba wake wa kuifundisha Klabu hiyo leo hii jumatatu
Asante....!
Rodgers alifukuzwa na Klabu ya Liverpool mwezi wa Oktoba mwaka jana
KUHUSU BRENDAN RODGERS
Chelsea (Youth) – 2004-2008
Watford – 2008-2009
Reading – 2009
Swansea City – 2010-2012
Liverpool – 2012-2015
Celtic – 2016-
Rodgers alisafiri na Ndege binafsi kwenda Glasgow kwenye Uwanja wa Ndege
No comments:
Post a Comment