SIRI NZITO YAFICHUKA, JOSE MOURINHO SASA NJIA NYEUPE KUELEKEA OLD TRAFFORD, MWENYEWE ACHEKELEA
Wakati tetesi za kutimuliwa kwa kocha Louis Van Gaal zikizidi kuongezeka, mmoja wa makocha wanaotajwa kuwa katika listi ya kumrithi Jose Mourinho ameripotiwa kutaja timu atakayoenda kufundisha hivi karibuni.
Kwa mujibu rafiki wa karibu wa kocha huyo wa kireno, mkurugenzi wa klabu ya Inter Milan, Bedy Moratti, amesema kwamba Mourinho atakuwa kocha mpya wa Manchester United.
Post a Comment