BAADA YA KUTOKA SARE YA 1-1 DHIDI MALAGA, ZINEDINE ASEMA UBINGWA SASA NI NDOTO
Klabu
ya soka ya Real Madrid kwa mara nyingine tena imetoshana nguvu na
Malaga kufuatia sare ya 1-1 katika mchezo uliopigwa jana na kupelekea
kuwa pointi 9 nyuma ya mahasimu wao Barcelona ambao walishinda dhidi La
Palmas bao ya 2-1.
Dakika 2 baadaye Madrid wakapata penati ambayo Cristinao Ronaldo akaipoteza baada ya kuokolewa na kipa wa Malaga – Carlos Idriss Kameni.
Post a Comment