Ligi
kuu ya soka ya England inatarajiwa kuendelea tena Jumamosi kwa michezo
mbalimbali katika viwanja tofauti, Manchester City watakuwa wenyeji wa
Leicester, Aston Villa watamenyana na Norwich city, Liverpool
watawaalika Sunderland, Newcastle united dhidi ya West Brom, Stoke
watakuwa wenyeji wa Everton,Swansea watawakabili Crystal Palace, Watford
watakuwa wageni wa Tottenham, na Southampton watakuwa nyumbani dhidi ya
West Ham.
No comments:
Post a Comment