Malkia wa Kombe la Muungano Tanzania Uhamiaji mwaka 2016/2016
Mrajisi wa Vyama vya Michezo Zanzibar
akimkabidhi Kombe la Ubingwa wa Michuano ya Muungano Kepteni wa Timu ya
Uhamiaji Sofia Komba Baada ya Timu yao kulinyakuwa Kombe hilo Mwaka huu
katika Uwanja wa Gmykhana Zanzibar kwa kuifunga Timu ya JKU ya Zanzibar
kwa mabao 38---25
Post a Comment