Pages

Tuesday, November 3, 2015

BIN SLUM AKABIDHI BASI LA KISASA KWA MBEYA CITY


Mkurugenzi Mkuu wa Bin Slum, Nassor Bin Slum akikabidhi funguo ya basi la kisasa kwa Mwenyekiti wa klabu ya Mbeya City, Mussa Mapunda katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Ofisa Mawasiliano wa Mbeya City, Dismas Ten. (Picha na Francis Dande)

Basi la kisasa la klabu ya Mbeya City lililokabidhiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Bin Slum, Nassor Bin Slum kwa uongozi wa Mbeya City.

Mwenyekiti wa Mbeya City, Mussa Mapunda akizungumza na waandishi wa habari wakati wa hafla ya kukabidhiwa basi la kisasa.

Mkurugenzi Mkuu wa Bin Slum, Nassor Bin Slum akizungumza na waandishi wa habari kabla ya kukabidhi basi la kisasa kwa uongozi wa Mbeya City.

No comments:

Post a Comment