Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Friday, October 2, 2015

Msimamo wa LIGI kuu ya Ujerumani – Bundesliga


laliga 1
Kwa hapa nchini unaweza kufuatilia michano hii ukiwa na king’amuzi cha Startimes pekee. Lakini kama wewe si mteja wao usitie shaka, kuna njia mbadala unayoweza kutumia kutazama LIVE michuano hii kupitia simu yako ya mkononi tena BURE kabisa.
Unachotakiwa kufanya ni fuata hatua zifuato.
1.Hakikisha unatumia simu yenye Android, au kama una simu hizi Samsung, Huawei, HTC, Techno, Sony au nyingine yoyote inayotumia Android.
2.Nenda kwenye Playstore ( unakodownload apps zingine) kisha search neno Tenbre.
3.Install application ya tenbre, jiunge Bure na Tazama Bundesliga bure.
Usisahau kunipa hapa mrejesho, je umeionaje?
laliga 2

No comments:

Post a Comment