Pages

Thursday, September 24, 2015

PENALTY ZAIOKOA LIVERPOOL BAADA YA SARE YA 1-1 DHIDI YA CARLISLE UNITED KWENYE CAPITAL ONE


Asamoah  Carlisle na Bastien Hery wakishangilia baada ya kupata nao bao dhidi ya Liverpool

Asamoah akionesha mbwembwe zake!

Straika wa Liverpool Danny Ings ndie aliyeiongoza Liverpool kupata bao

Kipa akijionea kweupe mpira ukinasa nyavuni

Ings akiziona nyavu!

Yupo hoi ni Brendan Rodgers akisalimiana na meneja mwenzake  Keith Curle

No comments:

Post a Comment