Pages

Thursday, September 24, 2015

KARIM BENZEMA AIPA USHINDI REAL MADRID UGENINI, YAIFUNGA ATHLETIC BILBAO 2-1 LA LIGA

Athletic Bilbao bao lao lilifungwa na Sabin dakika ya 67, Real Madrid bao zao zote mbili zimefungwa na  Karim Benzema dakika ya 19 na Karim Benzema alifunga tena bao  dakika ya  70.

No comments:

Post a Comment