Pages

Thursday, September 24, 2015

BARCA WAPIGWA KAMA WATOTO NA CELTA VIGO, 4-1


SPANISH PRIMERA DIVISIÓN 23/9/2015
 Estadio Balaídos, Spain
Mbele ya watazamaji: 23,311 

BAO za Celta Vigo zilifungwa na
Nolito 26' •
Iago Aspas 30' •
Iago Aspas 56' •
John Guidetti 83' •

BAO la Barcelona lilifungwa na Neymar dakika ya 80'

No comments:

Post a Comment