Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Saturday, September 26, 2015

DANIEL STURRIDGE AFUNGA MAWILI NA KUIPA USHINDI LIVERPOOL MBELE YA ASTON VILLA

BAO za Liverpool zimefungwa na

James Milner 2' •
Daniel Sturridge 59' •
Daniel Sturridge 67' •

Aston Villa zimefungwa na
• Rudy Gestede 66'  Rudy Gestede 71
James Milner akiipatia Liverpool bao la kuongoza dhidi ya Aston Villa baada ya sekunde chache kama 65 kipute tangu kianze
VIKOSI:
Liverpool
: Mignolet, Can, Skrtel, Sakho, Clyne, Lucas, Milner, Moreno, Coutinho, Ings, Sturridge.
Akiba: Toure, Gomez, Lallana, Allen, Origi, Ibe, Bogdan.

Aston Villa: Guzan, Hutton, Richards, Lescott, Amavi, Sanchez, Westwood, Gueye, Grealish, Gestede, Sinclair.
Akiba: Clark, Bacuna, Veretout, Ayew, Traore, Gil, Bunn.
Refa: Jon Moss

No comments:

Post a Comment