Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Saturday, September 26, 2015

DEPAY, WAYNE ROONEY NA MATA WAIPELEKA MAN UNITED KILELENI BAADA YA KUIFUNGA SUNDERLAND 3-0

Dakika ya 90 Juan Mata alifanikisha bao la tatu na kufanya mtanange umalizike dakika 90 kwa bao 3-0 Man United wakiibuka kidedea.Juan MataRooney akishangilia baada ya kuipatia bao la Pili Man UnitedRooney akishangilia leo Kipindi cha pili dakika ya 45 Wayne Rooney aliifungia bao la pili Man United na kufanya bao kuwa 2-0 dhidi ya Sunderland. Pongezi!Furaha tupu!3-0
Memphis Depay aliipeleka Man United Mapumziko za dakika ya 45 kwa bao 1-0 Man United dhidi Sunderland.Depay akishangilia!Safi!1-0 pongezi!NyavuniKipute kikiendelea kipindi cha kwanza.Rooney akikacha na mpira!Blind akiendesha!Martial akibanwa!Bastian akigombea mpira wa kichwa
VIKOSI:Man Utd: De Gea, Valencia, Smalling, Blind, Darmian, Carrick, Schneiderlin, Mata, Rooney, Depay, Martial.
Akiba: Jones, Young, Romero, Ander Herrera, Fellaini, Schweinsteiger, Andreas Pereira.

Sunderland: Pantilimon, Jones, Kaboul, O'Shea, Van Aanholt,
M'Vila, Cattermole, Johnson, Toivonen, Lens, Borini.
Akiba: Larsson, Gomez, Defoe, Coates, Yedlin, Mannone, Fletcher.
Refa: Mike Jones

No comments:

Post a Comment