BARCELONAYASHINDA 2-1 DHIDI YA LAS PALMAS KWENYE SPANISH PRIMERA DIVISIÓN, MESSI AUMIA, KUKAA NJE WIKI 7-8!
Lionel Messi chini akijiuguza Habari
za haraka zinasema kapelekwa Hospital na atalazimika kukaa nje kwa
matibabu ambayo yanaweza kuchukuwa muda wa wiki 7 mpaka 8. Kataka mechi
hiyo Messi hakuumaliza mpira huo kwani alilazika kutolewa nje.
No comments:
Post a Comment