Pages

Thursday, September 3, 2015

KINDA REGAN POOLE MASHETANI WEKUNDU KUTOKA NEWPORT


Manchester United wametoa Ofa a Pauni 100,000 kumnunua Kinda wa Miaka 17 anaechezea Newport County, Beki Regan Poole, ambae Dili yake huenda ikapanda na kufikia Pauni 400,000.
Hivi sasa Kijana huyu yuko huko Man United akipimwa afya yake.

No comments:

Post a Comment