Pages

Thursday, September 24, 2015

WAYNE ROONEY, PEREIRA NA ANTHONY MARTIAL WAIPA USHINDI UNITED OLD TRAFFOD WAKATI MANCHESTER UNITED IKIIFUNGA IPSWICH 3-0 KWENYE CAPITAL ONE CUP

BAO za Manchester United zilifungwa na Wayne Rooney dakika ya 23, Bao la pili lilfungwa na Andreas Pereira dakika ya 60 kwa mpira wa adhabu wa frii kiki na lile la dakika za majeruhi la Anthony Martial dakika ya 90 na kufanya mtanange kumalizika kwa dakika 90 kwa Man United kuibuka kidedea 3-0 dhidi ya Ipswich Town.Martial akichoma nyumba!Rooney akihangilia bao lake la kwanzaKipa David De Gea nae alishangilia bao la Rooney
Mchezaji wa Manchester United Andreas Pereira alipoifungia bao la pili Man United kwa mpira wa adhabu frii kiki usiku huu.Mchezaji wa Manchester United Andreas Pereira akitupiaAndreas Pereira  akishangilia2-0Hakunaga!!VIKOSI:
Man Utd:
De Gea, Valencia, Smalling, Blind, Young, Schweinsteiger, Herrera, Mata, Fellaini, Pereira, Rooney.
Akiba: Romero, Darmian, Jones, Carrick, Schneiderlin, Memphis, Martial.
Ipswich: Bialkowski, Emmanuel, Yorwerth, Malarczyk, Parr, Coke, Bru, Tabb, Oar, Murphy, McGoldrick
Akiba: Crowe, Kenlock, Chambers, Maitland-Niles, Toure, Pitman, Sears



Wayne Rooney of Manchester United arrives ahead of the Capital One Cup third round match between United and Ipswich Town

No comments:

Post a Comment